Askari wa Jeshi la Polisi Wilaya ya Iramba akimpigia saluti Naibu Waziri wa Madini Dk. Lumomo Kiruswa (katikati) mara baada ya kuwasili viwanja vya Ukumbi wa Halmashauri ya Wilaya ya Iramba kwenye kongamano la wadau kujadili fursa na changamoto kwenye sekta ya madini lililoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Suleiman Mwenda (wa kwanza kushoto) lililofanyika wilayani humo jana.
Naibu Waziri wa Madini Dk.Lemomo Kiruswa (wa pili kutoka kushoto) akipata maelezo kutoka kwa Mjiolojia Mbeleye David wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Madini katika kongamano la wadau kujadili fursa na changamoto kwenye sekta ya madini lililoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Suleiman Mwenda mkoani Singida jana. Wa kwanza kushoto ni mkuu wa wilaya hiyo, Suleiman Mwenda
Naibu Waziri wa Madini Dk.Lemomo Kiruswa (wa pili kutoka kulia) akipata maelezo kutoka kwa Mjiolojia Agnetha Kato (kushoto) wakati alipotembelea Banda la Wizara ya Madini katika kongamano la wadau kujadili fursa na changamoto kwenye sekta ya madini lililoandaliwa na Mkuu wa Wilaya ya Iramba Suleiman Mwenda mkoani Singida juzi. Wa tatu kulia ni mkuu wa wilaya hiyo, Suleiman Mwenda
Kaimu Afisa Madini Mkazi Mkoa wa Singida,Chone Malembo, akizungumzia masuala mbalimbali yanayohusu sekta ya madini mkoani hapa.
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Javan Diamonds Project (JDP) inayojishughulisha na Utafiti wa Almasi, Javan Bidogo ambaye pia ni mmiliki wa mradi wa utafutaji wa Almasi katika Kijiji cha Mbelekese kilichopo wilaya humo akitoa taarifa ya mradi huo kwenye kongamano hilo.
Wadau mbalimbali wakiwa kwenye kongamanohilo.
Kongamano likiendelea.
Maswali yakiulizwa kwenye kongamano hilo.
Mwenyekiti wa Wachimbaji wadogo wa Wilaya ya Iramba, Ramadhani Masoud akiuliza swali kwenye kongamano hilo.
Mchimbaji wa madini Yusuph Kityapi akichangia jambo kwenye kongamano hilo.
Mchimbaji wa madini Wilfred Shalua akiuliza swali kwenye kongamano hilo.
Mwenyekiti wa Wachimbaji Wilaya ya Ikungi, Seleman Dude akichangia jambo.M
Mjiolojia Charles Moe, kutoka Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) ambaye alimwakilisha Mtendaji Mkuu (CEO) wa Taasisi hiyo akichangia jambo kwenye kongamano hilo..
Vijana wa Sisi Tanzania Mkoa wa Singida wakiwa katika picha ya pamoja katika kongamano hilo.
Kongamano likiendelea.
Wadau wakiwa kwenye kongamano hilo.
Washiriki wakiwa kwenye kongamano hilo.
Mmojawa kada wa ChamaCha Mapinduzi (CCM) kupitia UVCCM Mkoa wa Dodoma, AsiaNdula (kushoto) akiwandani ya kongamano hilo
Kongamano hilo likifanyiwa dua na Sheikh Omari Hassan.