Monday, November 8, 2021
WAJUMBE WA KAMATI YA UKAGUZI WA NDANI SUA WAJENGEWA UWEZO
Sunday, November 7, 2021
MADIWANI IKUNGI WAPITISHA AZIMIO LA KUMPONGEZA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi Ally Mwanga (wa tatu kutoka kushoto) akiongoza kikao cha Baraza la Madiwani ambacho kiliketi juzi na kupitisha azimio la kumpongeza Rais Samia Suluhu Hassan kufuatia kutoa fedha za miradi katika halmashauri hiyo. Kushoto ni Mgeni rasmi wa kikao hicho Mkuu wa Wilaya ya Ikungi, Jerry Muro.
Thursday, November 4, 2021
KILA MTU ANAJUKUMU LA KUSIMAMIA USAFI KATIKA BAHARI
TEC YAWAKUTANISHA WADAU KIGOMA KUJADILI AFYA, USAWA WA KIJINSIA
Wednesday, November 3, 2021
VIJANA WAASWA KUINGIA KWENYE UFUGAJI NYUKI KWA KUWA UNA FAIDA KUBWA
Tuesday, November 2, 2021
ULEGA: WAFUGAJI 'WAKOROFI' WACHUKULIWE HATUA ZA KISHERIA
Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Abdallah Ulega akizungumza na Wananchi wa Kata ya Shungubweni, Wilayani Mkuranga alipokuwa katika ziara yake ya kutatua migogoro ya Wafugaji na watumiaji wengine wa ardhi aliyoifanya Wilayani humo juzi.
Monday, November 1, 2021
WAKURUGENZI, WAKUU WA WILAYA SINGIDA WATAKIWA KUKAMILISHA UJENZI WA VYUMBA VYA MADARASA
Katibu Tawala Mkoa wa Singida Dorothy Mwaluko akitoa miongozo mbalimbali kwenye kikao hicho..
Kaimu Katibu Tawala Msaidizi Mipango na Uratibu Beatrice Mwinuka akitoa wasilisho kwenye kikao hicho.







