Saturday, August 20, 2022
MBUNGE MTATURU AUNGA JITIHADA ZA RAIS SAMIA ZA KUHAMASISHA SENSA KWA KUANDAA BONANZA
Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki, Miraji Mtaturu, akipiga mpira kuashiria ufunguzi wa bonaza hilo.
Wachezaji wa Timu ya Wakala FC wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo dhidi ya Sokoni FC. Katika mchezo huo Sokoni FC ilishinda kwa mabao 4-0.
Wachezaji wa Timu ya Sokoni FC wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kuanza mchezo dhidi ya Wakala FC. Katika mchezo huo Sokoni FC ilishinda kwa mabao 4-0.
Mbunge Mtaturu akifuatilia mchezo dhidi ya Wakala FC na Sokoni FC.
Washariki wakifuatilia mchezo huo.
Mbunge Mtaturu akizungumza na wachezaji wa Timu ya Sokoni wakati akiikagua timu hiyo kabla ya mchezo wao dhidhi ya Wakala FC.
Mbunge Mtaturu akisalimiana na waamuzi wa mchezo huo.
Waamuzi wa mchezo huo wakiwa tayari kwa kazi.Kutoka kulia ni Rehema Dafi, Emanuel Safari na Enock Ayubu.
Mashabiki wakifuatilia mchezo huo. Wa pili kushoto ni Mtangazaji wa mchezo huo, Robert Onesmo kutoka Radio Standard FM ya Mkoa wa Singida.
Washiriki wakiendelea kushuhudia mchezo.
Mwamuzi wa pembeni wa mchezo huoRehema Dafi akiwajibika.
Thursday, August 18, 2022
MASHINDANO TEMBO CUP 2022 YATIKISA ITIGI-TIMU ZA KITARAK FC, DOROTO FC, SANJARANDA FC NA MUHANGA FC ZAINGIA NUSU FAINALI
KARDINALI PENGO ABARIKI NA KUFUNGUA MAJENGO YA HOSPITALI YA MAKIUNGU, RC SINGIDA ATOA NENO
Wednesday, August 17, 2022
RC SINGIDA AWAKUMBUSHA VIONGOZI, WANANCHI KUHUSU UMAKINI ZOEZI LA SENSA
Tuesday, August 16, 2022
TANZANIA YAFIKISHA MAWASILIANO YA INTANETI YENYE KASI MLIMA KILIMANJARO
![]() |
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye
akikata utepe kuashiria kuzindua Huduma za Mawasiliano ya Intaneti kupitia
Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika kituo cha Horombo kilichopo katika Mlima
Kilimanjaro jana Agosti 16, 2022. Kulia ni Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL), Mhandisi Peter Ulanga na Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Mohammed Khamis Abdulla (wa nne kutoka kushoto).jpg)
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akishiriki mkutano kupitia njia ya video na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John Mongela baada ya kuzindua Huduma za Mawasiliano ya Intaneti kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika kituo cha Horombo kilichopo katika Mlima Kilimanjaro.
![]() |
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Mawasiliano ya Intaneti kupitia Mkongo wa Taifa wa Mawasiliano katika kituo cha Horombo kilichopo katika Mlima Kilimanjaro jana Agosti 16, 2022.
![]() |
Waziri wa Habari, Mawasiliano na
Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akisisitiza jambo wakati wa uzinduzi huo..jpg)
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye akizungumza na wadau mbalimbali mara baada ya kuwasili Horombo Hut kwa ajili ya kuzindua huduma za Mawasiliano ya Intaneti yaliyofikishwa katika Mlima kilimanjaro na Shirika la TTCL

.jpg)
