Mratibu wa zao la Korosho Kitaifa, Dkt. Geradina Mzena akisisitiza faida za kulima zao hilo alipokutana na wakulima na maafisa ugani wa Wilaya ya Iramba jana, kabla ya kumkaribisha Mkuu wa Wilaya hiyo Emmanuel Luhahula (wa pili kushoto) kufungua mafunzo ya Kilimo Bora cha Korosho, wengine pichani ni DAICO Iramba, Marietha Kasongo na DAICO Mkalama, Seleman Musunga.
Mafunzo ya Agronomia ya Korosho yakiendelea.Wakulima na Maafisa Ugani wakishiriki mafunzo hayo kwa vitendo.
Mafunzo
ya namna bora ya kupogolea mkorosho.
-Afisa Kilimo Wilaya ya Iramba, Marietha Kasongo (aliyechuchumaa) akiweka alama kuhakikisha mstari .
Mafunzo ya namna bora ya kupogolea mkorosho.










No comments:
Post a Comment